Mataifa mengine ni ikiwamo, China, India, Brazil, Mexico na Nigeria Vigezo vyote vya kiuchumi vinaashiria kwamba inchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika ni Nigeria mbele ya Afrika ya kusini iliyokuwa ya kwanza. Leo hii watabiri wa uchumi wanaashiria kuwa inchi hiyo inakaribia kukua kwa kasi kikubwa ifikapo mwaka wa 2050, inakadiriwa kuwa uchumi wake utakuwa kwa viango vya wastani wa 4.2%, ikipanda nafasi nane kutoka 22 hadi 14 chini ya viwango. Wakati huo huo inaripotiwa kuwa wakati ambao serikali itakuwa imepambana na ufisadi vilivyo, wakaazi wa inchi hiyo wameonyesha …