BAADA YA YA KUSHUSHA MUSHAHARA WAKE RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHINA WA MAADILI

Featured Video Play Icon

Maadili ya watumishi wa uma ni jambo la muhimu. Rais Pombe Magufuli, baada ya kushusha mushahara wake kuufanya kuwa miongoni mwa maraisi walio na mushahara mudogo zaidi duniani.

Hapa anaahidi kuwa miongoni mwa watumishi wa kwanza wa uma amabao watajaza fomu na kueleza mali yake ambayo ataipeana kwa kamishina.

Kamishana pia jwa upande wake na spika wa bunge watajaza za kwao na kuzikabidhi Rais magufuli.

Hii ndo inaitwa kuwa kiongozi aliye kielelezo

Share This Article:

Related posts

Leave a Comment