Siku hizi kesi nyingi zinaripotiwa na zingine haziripotiwi kuhusu watu ambao wanajinyonga
Na asilimia kubwa ya watu hawa ni vijana wadogo
nini ndio sababu ya jambo hili?
Kwa nini siku hizi wengi wnaamua kujiondoa uhai? nini ndio alama zinazoweza kukuonyesha kuwa mtu ana weza kuwa na mpango au ako kwa hatari ya kutaka kujitoa uhai?
majibu kwa maswali haya ndai ya video hii